Maadhimisho ya Ibada ya Ijumaa Kuu St Joseph Dar

   Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali  Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam,  Katikati aliyeshikilia msalaba huo  ni Padri Audax Kaasa wa kanisa hilo.  Mtoto Benedicta Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Masaka English Medium  akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa …

Tamko la Maaskofu Katoliki Juu ya Kura ya Maoni

BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA BARUA YA KICHUNGAJI “Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu” (Lk. 21: 19) Sisi Maaskofu wenu tulikutana kusali na kutafakari pamoja huko Arusha tarehe 16 – 17 Februari 2015. Moja ya mambo tuliyoyazingatia ni suala lililo mbele yetu, la kupigia Kura ya Maoni Katiba Inayopendekezwa.   Tunazidi kuendelea kukumbusha kwamba Katiba ni chombo kitakatifu, kinacholenga …