Dk. Vincent Mashingi Ndiye Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

KATIBU Mkuu mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Vincent Mashingi mwenye umri wa miaka 43 ameteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe. Dk. Mashingi ambaye rasmi atashika nafasi ya Dk. Peter Slaa aliyejiengua ndani ya Chadema inadaiwa huenda akawa ndiye Katibu Mkuu wa chama cha siasa msomi zaidi duniani. JINA: Dr. Vincent Mashingi UMRI: Miaka …