Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Na Joachim Mushi MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza masuala ya haki za msingi za watoto yatambulike vizuri katika katiba ijayo. Mwenyekiti wa Mtandao wa …

Wanaharakati Waijia Juu Serikali Kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wameitaka Serikali kuhakikisha mchakato wa maridhiano kati ya wabunge wa kundi la UKAWA na Tanzania Kwanza unafanyika ili kunusuru mchakato na bunge la katiba. Wanaharakati wa GDSS wametoa kauli hiyo leo walipokuwa wakizungumza na vyombo …