Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa

MTANDAO wa Wanawake na Katiba, TGNP pamoja na mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu wameahidi kushirikiana kutoa elimu ya uraia na uhamasishaji juu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kutangazwa kwa muda rasmi wa kuanza kwa zoezi hilo kwa jamii ili kuelimisha zaidi wananchi juu ya Katiba nayopendekezwa. Kauli hiyo imetolewa katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa …

Wanaharakati TGNP Wataja Dosari za Katiba Inayopendekezwa

WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wametoa tamko huku wakiainisha dosari walizozibaini katika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni. Akisoma tamko hilo leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari, Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William ameshauri …

Rasimu Katiba Inayopendekezwa Yawasilishwa Bungeni Leo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imewasilisha leo katika Bunge Maalum la Katiba mara baada ya Kamati ya Uandishi wa Katiba hiyo kumaliza kazi ya kuiandaa iliyopewa na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Akiwasilisha Rasimu hiyo ya Katiba inayopendekezwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge alisema katika mchakato wa kuandika katiba hiyo kamati yake imezingatia mishingi …