RC Katavi Aupa Somo Uongozi wa Chuo Kikuu Huria

Na Kibada Enest, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameshauri Uongozi wa Chuo Kikuu Huria tawi la Mkoa wa Katavi kuwa wabunifu katika kutafuta vyanzo vya mapato kuliko kutegemea Ada ya wanafunzi na ruzuku ya serikali katika kujiendesha kuliko kutegemea pato moja tu ambalo ni ada ya wanachuo. Ametoa rai hiyo wakati akihutubia Jumuiya ya wananchuo na wananchi kwenye hafla …

RC Katavi Aagiza Waliokimbia Sekondari 2014 Warejeshwe

Na Kibada Ernest Kibada, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameagiza wanafunzi wote waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2014 na kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari waripoti katika shule walizopangiwa kuhudhuria masomo yao. Alitoa kauli hiyo katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Mstaafu Issa Seleman Njiku wakati akifungua kikao …

Japani Yatoa Milioni 160 Ujenzi Shule ya Awali

*Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule ya awali kwenye shule ya msingi Kakuni, iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.   Japan imetoa msaada huo ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika shule mpya ya msingi Kakuni ambayo Waziri …

Uchaguzi Katavi Wafanyika na Changamoto

Na Kibada Kibada -Katavi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa Katika Mkoa wa Katavi umekamilika kwa wananchi kujitokeza kupiga kura kwa kufuata taratibu kanuni na sheria zinazoongoza uchaguzi wa serikali za Mitaa ingawa kulikuwa na changamoto za hapa na pale kama kuchelewa kufika kwa karatasi za kupigia kura na vituo vingine uchaguzi kuahirishwa dakika za mwisho kutokana na Mgombea kukosa Sifa …

Sekta ya Mifugo Inavyohabari Mazingira Katavi

Na Kibada Kibada – Katavi SEKTA ya Mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi inakabiliwa na Changamoto mbalimbali hali inayofanya sekta hiyo kutafuta mbinu na mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo ikiwemo uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na wingi wa mifugo uliopo kuliko ukubwa wa eneo la kufugia mifugo hiyo. Baadhi ya Changamoto hizo ni kuwepo idadi kubwa ya …

Waziri Nyalandu na Mh. Lembeli wapo Afrika Kusini kukamilisha “mauzo” ya mbuga ya Katavi

* Baada ya Katavi Hifadhi nyingine nazo zitatolewa kwa wawekezaji * Katibu Mkuu ashinikizwa, abaki njia panda kuidhinisha safari, malipo * Urafiki wa Waziri, Lembeli waibua shaka miongoni mwa watumishi Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, yupo kwenye hatua za mwisho za kuikabidhi Hifadhi ya Taifa ya Katavi kwa mwekezaji wa Afrika Kusini. Kwa kuanza, ameshakamilisha mipango ya kuingia …