Pinda Awataka ma-RC, DC Kwenda na Kasi ya BRN

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Mizengo Peter Pinda amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendana na kasi ya Mpango wa MATOKEO Makubwa Sasa (BRN) katika utendaji wao hasa katika eneo la ufuatiliaji na uadilifu. Waziri Mkuu Pinda ameyasema hayo leo (Jumatano) mjini hapa wakati wa hotuba yake fupi ya ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu wa watendaji hao kujitathmini …