Ziara ya Kinana wa CCM Wilayani Karagwe…!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kutoka kwenye katapila baada kuliendesha wakati wa kazi ya kusawazisha shamba la kupanda miwa alipotembelea mashamba ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera, wilayani Misenyi, Kagera, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Katibu wa Itikadi …