KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam. Maeneo hayo ni pamoja na Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu, …
Mwenyekiti Mpya Bodi ya TTCL Atembelea Miundombinu ya Kampuni
MWENYEKITI mpya wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL Prof. Tolly Mbwette, ametembelea miundombinu mbalimbali ya Kampuni ya simu Tanzania katika ziara yake ya kwanza ya kuifahamu vyema kampuni hiyo mara baada ya kuteuliwa kuiongoza bodi hiyo. Katika salamu zake kwa Menejimenti na Wafanyakazi, Prof Mbwette amewataka kuongeza juhudi katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kwenda na kasi ya …
TTCL Waitumia 9 Desemba Kusafisha Soko Temeke Stereo, Wasaidia Vifaa vya Usafi
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara …