Prof. Makame Awataka TTCL na Posta Kufanya Biashara

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Posta Tanzania na Kampuni ya simu ya (TTCL) kufanya kazi kwa weledi na mtazamo wa kibiashara ili kuyaongezea mapato mashirika hayo na hivyo kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanaoyotokea nchini. Akizungumza na wafanyakazi wa TTCL na POSTA mkoani Mwanza Prof. Mbarawa amesema kutokana na …

Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano Watembelea TTCL

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo wamefanya ziara ya kikazi katika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa lengo la kufahamu na kukagua shughuli za kampuni hiyo. Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu na Naibu Katibu, Mkuu wake waliambatana na baadhi ya maofisa kutoka wizara hiyo. Aidha, walipata fursa …

TTCL Kurejea Kuwa Mali ya Umma kwa Asilimia 100

SERIKALI ipo katika hatua za mwisho za kuilipa kampuni ya Bharti Airtel ili kurejesha umiliki wa asilimia 100 katika Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL. Uamuzi huo unaotarajiwa kutekelezwa kabla ya mwisho wa mwezi huu utaiwezesha TTCL kurejesha hisa zake 35% zilizonunuliwa na Airel mwaka 2001 na kuifanya Bharti Airtel kuwa mbia mwenza katika Kampuni hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na …

TTCL Yakopeshwa Dola Mil 22 na Benki ya Uwekezaji Tanzania

KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL na Benki ya TIB leo zimetiliana saini Mkataba wa makubaliano ya dhamana ya Benki na Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 22 ikiwa ni awamu ya kwanza ya mkopo wa Dola za Marekani milioni 329 itakazopewa TTCL. Akizungumza katika hafla ya kusaini hati ya makubaliano ya mkopo huo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha …

Kampuni ya TTCL Yawazawadia Vyakula Vituo vya Wasiojiweza Dar

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akikabidhi sehemu ya msaada kwa baadhi ya watoto kutoka Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo Buguruni Malapa cha jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa leo na Kampuni ya TTCL kwa ajili ya Siku …

TTCL Yazinduwa Teknolojia ya 4G LTE, Ina Kasi ya Ajabu…!

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa …