Lowassa Apewa Hati ya Ushujaa Mkoani Mara…!

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni,  Oktoba 10, 2015. Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani …

Lowassa Awataka Watanzania Kuchangamkia Ajira EAC

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.   Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.   Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za …

Edward Lowassa Atuwa na Chopa Monduli, Ajinadi…!

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake,  Oktoba 5, 2015. Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa …

Lowassa Arejea Dar, Juma Duni Ainadi Chadema Kilwa

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema asubuhi. Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, azungumze nao Septemba …

Wagombea Udiwani Moshi Mjini CHADEMA Wajitambulisha

  Mkutano wa Hadhara wa Kampeni wa Utamburisho wa wagombea wa Udiwani katika jimbo la Moshi mjini. Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Korongoni, manispaa ya Moshi, Ally Mwamba akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Korongoni (hawapo pichani). Mgombea wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na …

Mgombea Urais wa Chadema Lowassa Ahutubia Mafinga Mjini

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa Kampeni zake. Sehemu ya Umati wa wananchi wa Mji wa Mafinga Wilayani …