Mgombea Mwenza Urais CCM Azungumza na Wanachama UWT Dodoma

Na Joachim Mushi, Dodoma MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu amefanya mazungumzo na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kuitumia vema heshima na nafasi waliopewa akinamama nchini ya kushika nafasi ya makamu wa rais kwa mara ya kwanza, hivyo kuhakikisha wanahamasisha wenzao ili CCM iweze kushinda na wanawake …

CCM Kuondoa Kodi za Hovyo, Yaja na Elimu Bure Hadi IV

Na Joachim Mushi, Mbulu MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu amesema chama hicho kikichaguliwa na Watanzania kuunda Serikali tena kitahakikisha kinaweka utaratibu mzuri utakaomfanya mwananchi mfanyabiashara kupenda kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo. Samia ametoa ahadi hiyo Mjini Mbulu alipokuwa akiwahutubia wananchi na wanaCCM katika mkutano wa hadhara wa kampeni za chama hicho. Alisema watahakikisha wanaondoa …