CCM Yakubali Mdahalo wa Wazi na Mgombea wa Chadema, Lowassa

Aliyekuwa mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wananchi na wanaCCM katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza, Bi. Samia Hassan Suluhu Mtwara Vijijini. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea mwenza wa chama hicho, Bi. Samia Hassan Suluhu. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizungumza na wanaCCM …

Ni Mwiko Serikali Kuwakopa Wakulima wa Korosho – Bi. Samia Suluhu

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa wamefurika katika viwanja vya Nyangao Jimboni Mtama katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza. Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Mtama leo. Na Joachim Mushi, Lindi/Mtwara MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu leo …

Bi. Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Wapiga Kura Liwale na Nachingwea

Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale. AKIZUNGUMZA na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu alisema licha ya ilaya ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuonesha kulenga kuboresha maisha ya wananchi haswa akinamama …

Dk. John Magufuli Aomba Kura Mkoani Tabora

 Mgombea Urais wa CCM Dk. Magufuli, akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi. Dk. Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na …

Serikali ya CCM Kuibadili Bagamoyo Kiuchumi, Kujenga bandari ya Uvuvi

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu jana katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo. Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa wamepanda juu ya gari lililoegeshwa ili kuhudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, …