Mgombea Urais wa CCM, Dk.John Magufuli Afunika Mkoani Kagera

 Wananchi wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya posta mjini humo, huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba ridhaa ya kuwa Rais na kuiongoza nchi Tanzania katika awamu ya tano. Dk. Magufuli amekamilisha mikutano yake ya kampeni zake katika mkoa wa Kagera wenye jumla ya majimbo …

Bi. Samia Suluhu Amnadi Dk. Magufuli Wilayani Korogwe na Lushoto

  Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo mjini Korogwe, Mkoa wa Tanga. Mgombea mwenza nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii na wananchi wengine alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Shule ya …

Mgombea Mwenza CCM Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo.  Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo.  …

Dk Magufuli Afunga Kazi Chato, Umati wa Kutisha Wafurika Mkutanoni

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha  Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika uwanja wa shule ya sekondari Chato mkoani Geita.   Wakazi wa Chato na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera …

CCM Kuwatafutia Wakulima Soko la Mihogo Nchini China

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwatafutia soko nchini China wakulima wa zao la mihogo Mkoani Mtwara ili kukuza uchumi wao kupitia zao hilo. Bi. Samia Suluhu mgombea mwenza urais kupitia chama hicho alitoa ahadi hiyo juzi alipokuwa katika kampeni za kuinadi ilani ya CCM kwa wananchi wa majimbo mbalimbali ya Mkoani Mtwara. Alisema …

CCM Yavuna Wanachama 180 Mkutano wa Hadhara Mtwara

Umati wa wananchi pamoja na wanaCCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) katika viwanja vya Manispaa ya Mtwara Mikindani.  Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi pamoja na wanaCCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Manispaa ya …