Mama Samia Suluhu: Wanaohujumu Wakulima Tutawashughulikia

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Kata ya Mabama, Jimbo la Sikonge Tabora. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwapongeza mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Sikonge, George Kakunda na aliyekuwa …

Mgombea Urais CCM, Dk. Magufuli Ahutubia Singida…!

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mnadani Ikungi mkoani Singida wakati akiwaomba wananchi hao kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais , Wabunge na Madiwani. Dk. Magufuli amesema serikali yake itahakikisha inazisaidia taasisi mbalimbali hasa …

Mama Suluhu Hassani Atetemesha Jimbo la Itilima, Simiyu

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi …

Bi. Samia Suluhu Amnadi Dk Magufuli Majimbo ya Serengeti na Mwibara Musoma

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiwahutubia baadhi ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiwahutubia baadhi ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza …

Bi. Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Wakazi wa Musoma Mkutano wa Kampeni…!

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwasenge, Jimbo la Musoma Mjini. Katika hotuba yake aliwaomba wanaMusoma kuichagua CCM ili iweze kuunda Serikali kwani imepanga kuboresha huduma mbalimbali za kijamii pamoja na ujenzi wa miundombinu eneo hilo itakayochangia kukua kwa biashara anuai. Alisema Serikali itakayoundwa …