CCM Waweka Hadharani Kikosi cha Kampeni Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Agosti 17, 2015 imekutana katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na kuteuwa timu ya kampeni ya chama hicho. Kikao hicho cha kamati kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya …

Kamati ya Rufaa TFF Yamjadili Dk Ndumbaro

KAMATI ya Rufaa ya Nidhamu – TFF imekutana leo tarehe 12/04/2015 kujadili rufaa No. 1/2014 ya DR. DAMAS  NDUMBARO dhidi ya TFF. TFF iliwakilishwa na Wakili Msomi Emmanuel Muga na Dr. Ndumbaro hakufika wala hakuwakilishwa na wakili wake.   Kufuatia kutofika kwa Dr. Ndumbaro, Kamati, kwa Azimio moja, iliamuru TFF itoe wito mpya na  mpaka tarehe 14/04/2015 uwe umemfikia Dr. …

Wamiliki wa Blogu Tanzania Wateua Kamati ya Muda Kuongoza…!

WAMILIKI wa Mitandao ya Kijamii Tanzania wameteua viongozi wa muda ambao watafanya kazi ya kushughulikia usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya kijamii (Bloggers) ili kuwaunganisha waendeshaji wa mitandao hiyo ya kijamii Tanzania. Uteuzi huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mlimani City kwenye mkutano wa mafunzo ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) …

Kamati Bunge Maalum la Katiba Zaendelea Kuwasilisha Taarifa

Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo, Maelezo – Dodoma   KAMATI za Bunge Maalum la Katiba Septemba 4, 2014 zimeendelea kuwasilisha taarifa zao mbele ya Bunge hilo. Baadhi ya kamati zilizowasilisha taarifa zao katika Bunge hilo ni Kamati Namba Mbili, Kamati Namba Tisa, Kamati na Kumi, Kamati Namba Nne, Kamati Namba 12, ambazo ziliwasilisha asubuhi hadi mchana. Mambo makubwa yaliyozungumzwa …