Kala Jeremiah Azinduwa Video Mpya

   Kala Jeremiah akichana mistari. Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo Mo Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki …