Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar. Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na …
Waziri Lukuvi Azinduwa Nyumba 50 za NHC Bukondamoyo, Kahama
Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi ameweka jiwe la msingi katika nyumba hizo. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi akiwasili kuweka jiwe …
Mkuu wa Wilaya Kahama Aumwagia Sifa Mgodi wa Buzwagi
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired …
Ajali Zauwa Tena Watu 38 Mbeya na Kahama
MSIBA mwingine mzito umelikumba taifa baada ya watu 38 kupoteza maisha katika matukio mawili tofauti, likiwamo la ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace iliyoua watu 19 wakati ikifanya safari ya wizi mkoani Mbeya. Tukio jingine limetokea mkoani Shinyanga ambako wachimbaji wadogo 19 wa dhahabu waliokuwa katika mgodi mdogo wa Kalole, wilayani Kahama wamekufa baada ya kufunikwa na kifusi …
Benki ya Posta yawasaidia waathirika mvua ya mawe Kahama
Na Mwandishi Wetu BENKI ya Posta tawi la Shinyanga imetoa msaada wa mifuko ya saruji tani saba na nusu yenye thamani ya sh. milioni 3 kwa ajili ya waathirika wa mvua ya mawe katika Kijiji cha Mwakata wilaya ya Kahama. Msaada huo umekabidhiwa jana na Meneja wa Tawi la Benki ya Posta, Shinyanga Lawrence Munisi kwa Mwenyekiti wa Kamati ya …
Rais Kikwete Awafariji Waliokumbwa na Mvua ya Mawe
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Machi 12, 2015, alifanya ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Rais Kikwete amewasili mjini Kahama kiasi cha saa nane mchana …