Waziri Pinda Ataka Busara Kumaliza Mgogoro Kagera, Alia na Madawati…!
Na Mwandishi Wetu, Kagera WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Kagera ukae na kuzungumza ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba kwa manufaa ya wananchi. Ametoa wito huo Oktoba 5, 2014 wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Serikali wa mkoa huo mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo iliyowasilishwa kwake …
Kagera Yachukua Tahadhari Kujikinga na Ebola
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Kagera MKOA wa Kagera umechukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola kwa kuongeza udhibiti na ukaguzi wa raia wa kigeni kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaoingia nchini Tanzania kupitia vituo vya mpakani vya mkoa huo. Akizungumza katika mahojiano maalum wilayani Ngara, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe …