Rais Kagame Afuata Nyayo za Magufuli…!

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amelaumu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kufanya matumizi holela ya fedha kutokana na mawaziri kufanya ziara za mara kwa mara kuhudhuria mikutano. Alisema mawaziri wa nchi yake wanatumia chombo hicho kama njia ya kujinufaisha kwa kufanya ziara na kuhudhuria mikutano ya Jumuiya hiyo hata isiyo na umuhimu. Ameahidi kufuata mfumo wa Rais wa Tanzania, John …

Rais Kikwete Amtembelea Kagame Rwanda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini, Machi 7, 2015, kwenda Kigali, Rwanda kwa ziara ya siku moja nchini humo kwa mwaliko wa Rais Paul Kagame. Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete atahudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini – Northern Corridor Integration Projects …