Mgombea Urais wa CCM, Dk.John Magufuli Afunika Mkoani Kagera

 Wananchi wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya posta mjini humo, huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba ridhaa ya kuwa Rais na kuiongoza nchi Tanzania katika awamu ya tano. Dk. Magufuli amekamilisha mikutano yake ya kampeni zake katika mkoa wa Kagera wenye jumla ya majimbo …