Msanii Diamond Matatani, Sare za JWTZ Zamponza…!

Na Mwandishi Wetu, MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinum ameingia katika mgogoro na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) baada ya kufanya ‘show’ yake ndani ya Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam akiwa amevalia sare kama za jeshi hilo pamoja na wacheza ‘show’ wake. Uamuzi huo wa Diamond kuvaa sare kama za JWTZ unamuingiza …

JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, amelisifia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutaja mafanikio yake makuu katika miaka 50 ya uhai wake, akisisitiza kuwa ni Jeshi imara na bora linaongozwa na misingi ya uzalendo, utii na nidhamu ya hali ya juu. Rais pia amesema kuwa kwa amani, utulivu na usalama …

JWTZ Watimiza Miaka 50 Tangu Kuanzishwa…!

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo limetimiza Miaka 50 toka Kuanzishwa kwake mnamo tarehe 1/09/1964. JWTZ ni moja ya Jeshi lililotajwa na Mtandao mmoja hivi karibuni kuwa ni Jeshi lenye weredi wa hali juu Duniani kutokana na Operesheni ambazo wamewahi kuzifanya na linalotumia Silaha za Kisasa. Baadhi ya Operesheni zilizowahi kufanywa na Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) ni …