JWTZ Lakanusha Kupoka Kadi za Kupigia Kura Wanajeshi

  Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Ngemela Lubinga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akikanusha jeshi hilo kuwanyang’anya kadi za kupigia kura maofisa na askari wake kama ilivyodaiwa na kiongozi mmoja wa chama cha siasa. Kulia ni Msaidizi wa Kanali Lubinga, Meja Joseph Masanja na kushoto ni …

Rais Kikwete Alipa JWTZ Vitabu 2752

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi baadhi ya vitabu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange. Rais Kikwete amekabidhi vitabu hivyo 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam January 9, 2015. Rais kikwete, ambaye ameshachangia jumla ya vitabu 2752 katika maktaba ya chuo hicho na chuo …

Diamond Azidi Kujichanganya JWTZ, Aandika Barua ya ‘Vituko’…!

Na Mwandishi Wetu, MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdullah a.k.a Diamond Platinamz amezidi kujichanganya katika kosa linalomkabili na kutumia mavazi wa JWTZ kwenye show yake aliyoifanya katika Tamasha la Fiesta lililofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Vichekesho zaidi vya msanii huyo maarufu amevifanya pale alipoamua kuandika barua ya kuliomba radhi Jeshi la Wananchi Tanzania kwa kitendo cha …

Rais Kikwete Atuma Rambirambi Msiba wa Jenerali Herman Lupogo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Cornel Lupogo ambaye aliaga dunia Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es …