Barcelona ni Nooomaa, Waiuwa Juventus Watwaa Ubingwa

TIMU ya Barcelona imetawazwa Mabingwa wa Ulaya kwa mara ya tano baada ya kufanikiwa kuichapa timu ya Juventus mabao matatu kwa moja (3-1) katika mechi kali ya fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki wa mjini Berlin. Timu ya Barcelona ndiyo waliokuwa wa kwanza kufunga kupitia kwa mchezaji wake Ivan Rakitic mnamo dakika ya nne tu ya mwanzo baada ya kuanza …