Jumia Travel Wazinduwa Huduma za Ndege kwa Ajili ya Wasafiri

   Ofisa Habari wa Kampuni ya Jumia Travel, Geofrey Kijangwa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kampuni hiyo kuzindua huduma za ndege. Kushoto ni Meneja Mkazi wa Kampuni hiyo, Fatema Dharsee.   Mkutano na wanahabari ukiendelea.  Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Jumia Travel imetangaza kuwa imezindua huduma za ndege kwa ajili ya wasafiri, …

Afrika Internet Group Yawakutanisha Wadau na Wanahabari

AFRIKA Internet Holding ni kampuni inayochochea kasi ya mabadiliko ya online katika Afrika – kwa ajili ya watu wake na utamaduni wake. Pia inadhumuni la la kuleta mafanikio na umahiri katika makampuni ya internet ambayo yanaongeza mageuzi ya utamaduni wa Kiafrika wa matumizi ya internet. AIH ni kundi mama lenye makampuni tisa yenye mafanikio na yanayokua haraka katika nchi zaidi …