Maonesho ya Jua Kali Kufanyika Kigali

Na James Gashumba, EANA MAONESHO ya kanda maarufu kwa jina la Jua Kali/Nguvu Kazi yatafanyika mjini Kigali, Rwanda Desemba 1, mwaka huu. Maonesha hayo yanayoandaliwa chini ya kauli mbiu “Kuendeleza uchumi mdogo na Sekta Endelevu ya Ujasiliamali kwa Mtangamano na Kukuza Uchumi,” yanatarajiwa kuhudhuriwa na wabunifu wapatao 1,000 kwa mujibu wa serikali ya Rwanda. Waziri wa Viwanda na Biashara wa …