Jovago Kuwapeleka WanaValentine Ramada Hotel

KAMPUNI ya Jovago Tanzania ambayo ni wadau wakubwa wa sekta ya utalii nchini Tanzania imeahidi kuwapeleka wapendanao (Wana Valentine) kupumzika kwa siku moja kwenye Hoteli ya kisasa ya Ramada ya jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wapendanao duniani (Valentine’s day). Akizungumza na wanahabari Meneja Uhusiano wa Jovago Tanzania, Lilian Kisasa alisema kampuni hiyo kwa kushirikiana …