TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Waumini wa Gwajima

      Na Frank Shija, MAELEZO-Dar es Salaam WATANZANIA wameaswa kujenga utamaduni wa kulipa kodi na kudai risiti pindi wanapofanya biasha au kununua bidhaa ili kuisaidia Serikali kukusanya mapato kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma za kijamii. Wito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka …

Mchungaji Josephat Gwajima Atakiwa Kufunga Kanisa…!

KANISA lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam limeamuriwa kufungwa na kuondoka mara moja eneo hilo. Kwa mujibu wa barua ya wamiliki wa eneo hilo, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) imemtaka Mchungaji Gwajima kuondoka eneo hilo mara moja ili kupisha shughuli nyingine za wamiliki wa eneo hilo. Taarifa …