Clouds FM Yakanusha Kutumika Kisiasa na CCM

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Clouds Media Group wamiliki wa redio Clouds FM, Choice FM na Clouds Televisheni wamepinga vikali juu ya tuhuma kwamba wanatumiwa kisiasa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza leo kwa njia ya simu kutokea nchi za Falme ya Kiarabu, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Joseph Kusaga alisema chombo hicho cha habari hakitumiki kukibeba chama chochote na …