Johnson Lukaza wa Kampuni ya Proin, Mdogowake Washinda Kesi ya EPA

Mwesigwa Lukaza Na Happiness Katabazi (UB) HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdomo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili. Hukumu hiyo Imetolewa Jaji …