Mwanamuziki ‘John Walker’ Afariki Dunia…!

AKIZUNGUMZA kwa njia ya simu na mwandishi wa habari hizi kaka wa marehemu Omari Milay, alisema walipigiwa simu alfajiri ya leo na kujulishwa kuwa ndugu yake Michael Denis a.k.a John Walker amefariki katika hospitali ya Muhimbili, alipokuwa akipata matibabu ya ajali aliyopata siku ya jana. Taarifa zinasema John Walker alipata ajali ya kugongwa na kitu kizito kwenye paji la uso, …