RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana, kufuatia kifo cha Capt. Mstaafu John Rwezaura Barongo kilichotokea tarehe 20 Octoba, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. “Chama kimempoteza mtumishi wake wa muda mrefu na muaminifu, ambaye amefanya kazi zake bila kuchoka na hata baada ya kustaafu amebakia …
JK Aanza Kuinadi Katiba Inayopendekezwa Mwanza
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewashangaa watu wanaodai kuwa Katiba Inayopendekezwa ni mbaya, akiuliza kuwa kama Katiba hiyo ni mbaya basi hiyo nzuri ikoje? Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Katiba inayojali makundi yote ndani ya jamii, kama ilivyo Katiba Inayopendekezwa, kamwe haiwezi kuwa Katiba mbaya. Rais Kikwete ameyasema hayo nyakati tofauti, Oktoba 10, 2014, wakati alipozungumza …
JK Ataja Hatua Saba Zinazofanywa Kupunguza Msongamano Dar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10 iliyopita, Jiji la Dar …
JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, amelisifia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutaja mafanikio yake makuu katika miaka 50 ya uhai wake, akisisitiza kuwa ni Jeshi imara na bora linaongozwa na misingi ya uzalendo, utii na nidhamu ya hali ya juu. Rais pia amesema kuwa kwa amani, utulivu na usalama …