Waziri wa Maji na Umwagiliaji, JK Watembelea Mitambo ya Maji Wami

  Rais Jakaya Kikwete na Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji Wakiwa katika picha ya pamoja Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani. Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani …

Waziri Mkuu Ethiopia, Rais Kikwete Wazinduwa Kiwanda cha Dawa za Wadudu

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA KIWANDA CHA KUZALISHA VIUADUDU VYA KUULIA VILUWILUWI VYA MBU WANAOENEZA MALARIA KILICHOPO KATIKA ENEO LA VIWANDA LA TAMCOKIBAHA, PWANI TAREHE 2 JULAI, 2015 Mheshimiwa Hailemariam Desalegm, Waziri Mkuu wa Ethiopia; Mheshimiwa Mizengo Pinda, Waziri Mkuu; Mheshimiwa Dkt. Abdala Kigoda, Waziri wa Viwanda …

JK Apinduwa Tena Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Mmoja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko tena ya wakuu wa wilaya nchini ikiwa ni pamoja na kumteua Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia Mei 25, 2015. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo mbalimbali vya habari jana jijini Dar es Salaam, …

JK Aipa Pole Familia ya Mwalimu Nyerere kwa Msiba

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole …