Programu ya Fursa kwa Watoto Yazinduliwa…!

Na Rabi Hume KWA kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto ambao ndiyo watakuja kuwa viongozi wa baadae nchini, programu mpya inayofahamika kama Fursa Kwa Watoto imezinduliwa leo ikiwa na malengo ya kuboresha elimu kwa watoto wanaoanza elimu ya awali ili kuwafanya kuwa na uwezo pindi wanapoanza elimu ya shule ya msingi. Akizungumzia programu hiyo, Mratibu wa Elimu ya Awali kutoka …

Maendeleo ya Jamii Waelezea Mikakati…!

                                   Na Jovina Bujulu – MAELEZO SERIKALI kupitia uratibu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto imeendelea kujenga mazingira wezeshi kwa ajili ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Marcel Katemba leo jijini Dar es Salaam. Mercel alisema kuwa serikali inaendeleza …