Jiji Latafuta Suluhisho la Ombaomba na Wamachinga

Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam   JIJI la Dar es salaam linaangalia utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika mikoa wanayotoka kutokuzaa matunda na kuwa endelevu kufuatia wengi wao kurudi katika maeneo ya awali kila wanapoondolewa.   Hayo yamebainishwa na …