Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi MAOFISA wakuu wa Jeshi la Polisi wanatarajia kukutana jijini Dar es Salaam kesho katika kikao kazi cha siku mbili kujadili na kupanga mikakati mbalimbali ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu hapa nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Advera Bulimba alisema kikao hicho …
Jeshi la Polisi Lakanusha Kufukuza Askari kwa Vyeti Feki
JESHI la Polisi Tanzania, limekanusha juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna idadi kubwa ya askari wamefukuzwa baada ya kubainika kuwa wanavyeti feki. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari Polisi imesema taarifa hizo ni za uzushi na sasa wanawatafuta waliozisambaza ili hakua zaidi zichukuliwe dhidi yao. Ifuatayo ni taarifa halisi ya Jeshi la …
Wadau Mkoa wa Mara Wamhakikishia Amani IGP Mangu
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi WADAU wa Amani mkoani Mara wamemhakikishia Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu kuendelea kuitunza amani na kuimarisha usalama katika mkoa huo hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi. Waliyasema hayo wakati walipokuwa wakitoa maoni yao wakati wa kikao kilichohudhuriwa na wadau mbalimbali wa amani mkoani …
Naibu Waziri Pereira Silima Afunga Mafunzo ya Polisi Moshi
Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi. Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji. Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki akitoa …