Kauli ya Jerry Muro Yamponza, TFF Yampiga Faini Mil. 5

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF. Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, …