Uzinduzi wa Jarida la IRIS Executive Wafanyika

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive Development Centre, Phylisiah Mcheni (kulia) na Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Bw. Vipul Kakad wakiwa meza kuu kwenye hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa jarida IRS Executive …