Japani Yatoa Milioni 160 Ujenzi Shule ya Awali

*Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule ya awali kwenye shule ya msingi Kakuni, iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.   Japan imetoa msaada huo ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika shule mpya ya msingi Kakuni ambayo Waziri …

Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Serikali ya Japani wametiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama iliyopo Rufiji mkoani Pwani utakaogharimu shilingi milioni mia tisa. Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam kati ya Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mama …