January Makamba Ahaidi Bima ya Afya kwa Kila Mtanzania

Na Joachim Mushi IDADI ya watia nia ya kugombea nafasi ya urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imezidi kuongezeka huku wanaojitokeza wakiendelea kutoa ahadi nono na za kuvutia kwa Watanzania. Jana mgombea January Makamba amejitokeza kutangaza nia ambapo miongoni mwa vipambele vyake ni kutoa huduma bora za afya huku akiahidi kumpatia bima ya afya kila Mtanzania …