Elimu ya Jando, Unyago Vizingatie Umri na Wakati – Naibu Waziri

Na Shamimu Nyaki MAELEZO NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura amezitaka jamii kutoa elimu ya jando na unyago kwa kuzingatia umri na wakati sahihi wa mafunzo hayo ili kuweza kuondoa tatizo la mimba na ndoa za utotoni. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na Wawakilishi wa asasi za kiraia kutoka mkoani Mtwara wanaoshughulika na …