Hukumu Kesi ya Kikatiba Sheria ya Makosa ya Mtandao ‘Kizungumkuti’

  HUKUMU ya kesi ya Kikatiba namba 9 ya mwaka 2016 iliyofunguliwa mwaka jana na Kampuni ya Jamii Media ikipinga baadhi ya vifungu vya sheria ya makosa ya mtandao kwa kile kuingilia uhuru wa maoni na kujieleza wa wananchi imeshindwa kusoma huku kukiwa hakuna sababu zilizotajwa. Akizungumza leo eneo la Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam Wakili wa Jamii Media, …

JamiiForums.com Wazinduwa Mradi wa Tushirikishane Bukoba

  Timu ya Jamii Media ikitambulishwa mbele ya Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukoba.   MTANDAO wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na madiwani), Serikali(Halmashauri) na Wananchi katika kurahisisha upatikanaji wa maendeleo. Mradi huu unaotambulika kama “Tushirikishane” una malengo ya kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi kwa urahisi. Pia Tushirikishane inalenga kuzisaidia Halmashauri …

Jamii Forums Wawavuta Wengi Maonesho ya Biashara ya Uturuki

KAMPUNI ya Jamii Media wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii, JamiiForums na Fikra Pevu nchini Tanzania imevuta watazamaji wengi kutembelea banda lao lililoshiriki katika Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yaliofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee. Wananchi wengi waliotembelea katika maonesho hayo walikuwa wakipita katika banda la …