Sababu za James Lembeli Kuhama CCM Hizi Hapa…!

 Lembeli akizungumza na wanahabari. Sababu za James Lembeli Kuhama CCM Hizi Hapa… ALIYEKUWA Mbunge wa Kahama James Lembeli, amehamia rasmi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la kuhama lilifanyika jijini Dar es Salaam leo asubuhi katika Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza ambapo aliambatana na mwanae ambaye alijitambulisha kwa jina Wizilya James. Ataja …