Mpiga Picha Mkuu Gazeti la Jambo Leo Auaga Ukapera

 Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa Kamanda wa Matukio Blog, baada ya kubariki ndoa yao katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kivule Dar es Salaam mchana huu.  Bwana harusi Richard Mwaikenda akiwa amepozi na mke …

Meneja Gazeti la Jambo Leo Afariki Dunia…!

 Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake.  Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike leo jioni.  Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.  Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na  kifo …