RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 10, 2014, ameanza kuwasiliana na mamia kwa mamia ya wananchi mbali mbali nchini kujibu ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wa kumpa pole, kumtakia heri na nafuu ya haraka ambao amekuwa anatumiwa na wananchi tokea mwishoni mwa wiki. Tangu alipofanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) Jumamosi iliyopita kwenye Hospitali ya …
Rais Kikwete Aendelea Vyema Hospitali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani,Jumapili, siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume. Habari kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni salama. Tutaendelea kuwashirikisha taarifa ya …