TAREHE 22 Septemba 2014, Gazeti la Mwananchi lilitoa taarifa ya mahojiano kati yake na Mheshimiwa Steven Wasira. Katika mahojiano hayo, Mheshimiwa Wasira alisema mimi ndiye niliyemkimbiza CCM. Tangu mchakato wa Katiba Mpya kuanza nilikuwa napata taarifa kwamba Mheshimiwa Wasira alikuwa amenifanya mtaji wake katika kutetea msimamo wake. Wakati mmoja kuna kiongozi mwenzake aliniuliza kama nina ugomvi binafsi na Mheshimiwa Wasira …
Serikali: Hatuja Mkejeli Jaji Warioba Kumpa Tuzo ya Muungano
Na Magreth Kinabo, Maelezo MSEMAJI wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa alistahili, kama viongozi wengine na si kweli kwamba kitendo hicho ilikuwa kumkejeli kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hivi karibuni. Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mwambene wakati akizungumza na waandishi …
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yapendekeza Uraia wa Nchi Moja
Licha ya Rasimu ya Katiba kupendekeza muundo wa Serikali tatu, imetamka kuwa uraia utaendelea kuwa ni wa nchi moja ambayo ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akiwasilisha Rasimu ya Katiba Bungeni jana, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba alisema kuwa tume imependekeza suala la uraia kubaki kuwa la nchi moja kwa sababu moja ya masuala makuu …