Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu

Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia. Akifungua semina ya kuhamasisha mataifa ya Afrika kuiunga mkono mahakama hiyo mjini Addis Ababa, Ethiopia mwishoni mwa wiki, Jaji Ramadhani alisema …