Jaji Mutungi Ataka Redio za Jamii Zisigeuzwe Vibaraka

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi amezitaka Redio za Jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa. Alisema kwa kufanya maamuzi ya kutotumiwa na vyama vya siasa kutasaidia kuepusha migogoro inayochochewa na taarifa za kishabiki za vyamja vya siasa. Jaji Mutungi alisema hayo wakati akichangia mada tatu …