Wagosi wa Kaya Wamchukua Kocha Jackson Mayanja

Na Mwandishi Wetu MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988, Coastal Union, Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu. Utiliaji wa saini wa Kocha …