Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wasikilize na kufuata mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini ili Tanzania iwe nchi yenye watu waadilifu na wenye hofu ya Mungu. Ametoa wito huo Februari 20, 2015 wakati akizungumza na maelfu ya waumini na wananchi waliohudhuria ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu Magnus Mwalunyungu kwenye kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu la Tosamaganga, Jimbo …

Vyungu Hivi ni Zaidi ya Utalii Wilayani Mufindi, Iringa

Mmiliki  wa mtandao huu  mzee wa matukiodaima juu akiwa amejitwisha  kichwani  kiatu cha asili  kilichotengenezwa kwa  udongo  ambacho  kinauzwa kati ya Tsh  160,000 kwa  kimoja na  pea moja ni Tsh 320,000 kiatu  hiki ni  moja kati ya  vivutio vya utalii katika  wilaya ya Mufindi  mkoani Iringa vinavyotengenezwa  eneo la Rungemba na kuvutia  watalii  wa ndani na nje Baadhi ya  vifaa …

Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma

Askari  wa FFU  wakizunguka mitaa mbali mbali ya mji wa Iringa jana kama  njia ya  kulinda amani kwa  wafanyabiashara  ambao  waliendelea kutoa huduma  baada ya wenzao  kuwa katika mgomo MOja  kati  ya  maduka  mjini Iringa yakiendelea  kutoa  huduma  mbali ya  wafanyabiashara  wengine  kuwepo katika mgomo  kushinikiza kuachiwa  huru kwa mwenyekiti wa  wafanyabiashara  Taifa  Bw  Johnson Minja   Mmoja kati ya  …