IPTL yatoa milioni 10 kusaidia harakati za Imetosha

Na Mwandishi Wetu KAMPENI maalumu za kupinga mauaji ya watu wenye u-albino nchini inayojulikana kama ‘Imetosha’ iliyoanzishwa na balozi wa kujitolea, Henry Mdimu, chini ya Imetosha Foundation zimezidi kushika asi baada ya makampuni ya IPTL na PAP kutoa shs milioni 10 kusaidia kampeni hizo. Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege jana …

IPTL Yaisaidia TASWA Milioni 20 Maandalizi ya Tuzo

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert …